Mtunzi: Benezeth T. Mpupe
> Mfahamu Zaidi Benezeth T. Mpupe
> Tazama Nyimbo nyingine za Benezeth T. Mpupe
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,390 | Umetazamwa mara 4,273
Download Nota Download MidiMpigieni Mungu kelele za shangwe nchi yote,Imbeni Utukufu wa Jina lake, Tukuzeni Sifa zake Aleluya x 2.
Mashairi:
1. Mwambieni Mungu matendo yako yanatissha kama nini, kwa ajili ya wingi wa nguvu zako, adui zangu watakuja kunyenyekea mbele zako.
2. nchi yote itakusujudia na kukuimbia, naam italiilbia, italiimbia jina lako wewe Mtakatifu.
3. Njooni yatazameni matendo ya Mungu, hutisha kwa mambo awatendeayo wanadamu.