Mtunzi: D. Mhenga
> Tazama Nyimbo nyingine za D. Mhenga
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Mazishi | Miito | Shukrani
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 2,398 | Umetazamwa mara 4,913
Download Nota Download Midi1. Msalaba wako Ee mwokozi wangu ndiyo damu yako chemichemi ya uhai ( Msalaba, Msalaba, Msalaba, Msalaba nawaimba pote hata nionapo raha ya mbinguni) 2.
2. Penye msalaba nitawapa nguvu wingi wa upendo wingi wa rehema.
3. Penye msalaba nitawapa neema wingi wa upendo wingi wa rehema.
4. Hodi hodi Bwana kuna nini ndugu ndiye Bwana Yesu anatungojea.
Fungueni, fungueni,funueni, fungua milango aingie Bwana