Mtunzi: Felician Albert Nyundo
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Albert Nyundo
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 1,869 | Umetazamwa mara 5,142
Download Nota Download MidiFELICIAN ALBERT NYUNDO
22/01/1980
Yesu msalabani alipotundikwa hakuwa na kosa, mkombozi wetu x2
Dhambi zetu nyingi sana ndizo zilimtesa hakuwa na kosa mkombozi wetu
Aliteswa msalabani kwa ajili ya ukombozi wetu sisi, Akasulubiwa kwa aili ya ukombozi wetu sisi