Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE
Umepakuliwa mara 465 | Umetazamwa mara 1,429
Download Nota Download MidiDONDOKENI ENYI MBINGU (A)
Dondokeni dondokeni dondokeni enyi Mbingu diondokeni dondokeni toka juu dondokeni ma-win-ngu ya mwage mwenye haki ...x2
1. Nchi ifunuke ili imtoe ifunuke ili imtoe mwokozi.
2. ameiridhia Nchi yako amewalegeza mateka wa Yakobo.
3.Ameusamehe uove wa Watu ameidhihirisha haki yake.
4. Umeiodnoa ghadhabu ya Watu umerudin na kuacha ikali na hasira.