Ingia / Jisajili

Msifanye Mioyo Yenu Iwe Migumu

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 1,965 | Umetazamwa mara 5,002

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Msifanye mioyo yenu iwe migumu lakini msikie sauti ya bwana.

  1. Njoni tuabudu na pia tusujudu na pia tupige magoti mbele za Bwana.
     
  2. Kwa maana yeye ndiye Mungu wetu, sisi ni kondoo wake wa malisho yake.

  3. Hapo baba zenu waliponijaribu, nao wakayaona matendo yangu.

Maoni - Toa Maoni

shayo Aug 01, 2016
wimbo mzuri sana unanipa faraja kubwa sana kipnd cha kwaresma

Toa Maoni yako hapa