Mtunzi: S. Kibong'olo
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Stanslaus Mkombo
Umepakuliwa mara 1,504 | Umetazamwa mara 3,596
Download Nota Download Midi
(I&II: Msifu, umsifu Bwana) Msifu ee Yerusalemu. x2 (I&II: Umsifu Bwana Mungu wako) Msifu ee Yerusalemu. x2.
1. (I&II) Umsifu Mungu wako(I: ee) (II: ee Sayuni) maana ameyakaza mapingo ya malango yako.
2. Ndiye afanyaye amani (I: mi-) (II: mipakani) ndiye akushibishaye kwa unono wa ngano.
3. Huipeleka amri yake(I: juu) (II: juu ya nchi) Neno lake lapiga mbio, mbio sana.
4. Humhubiria Yakobo (I: Ne-) (II: Neno lake) Israeli amri zake na hukumu za- - ke- -.