Mtunzi: A.c. Lulamye
> Tazama Nyimbo nyingine za A.c. Lulamye
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Reuben Maghembe
Umepakuliwa mara 742 | Umetazamwa mara 2,228
Download Nota Download MidiKiitikio
Msifuni Bwana huwaponya waliopondeka moyo *2
Msifuni Bwana msifuni Bwana msifuni Bwana huwaponya waliopondeka moyo *2
Masahairi
1. Maana ni vema kumwimbia Mungu wetu maana kwapendeza kusifu nikuzuri
2. Bwana ndiye aijengaye Yerusalemu huwakusanya waliotawanyika wa Israeli
3. Bwana wetu ni mkuu na mwingi wa nguvu na akili zake hazina mipaka
4. Bwana wewe hututegemeza wenye upole huwaangusha chini wenye jeuri