Ingia / Jisajili

MSIFUNI BWANA HUWAPONYA WALIO PONDEKA MOYO

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 397 | Umetazamwa mara 1,031

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MSIFUNI MSIFUNI MSIFUNI Bwana kwamaana huwaponya walio pondeka moyo.x2. 1.A leluya MSIFUNI Bwana maana NI vyema kumwimbia mungu wetu maana kwa pendeza kusifu NI kuzuri .2.Bwana Ndiye aijengaye yerusalemu huwakusanya walio tawanyika waisraeli huwa ponya walio pondeka moyo na kuziganga jeraha zao.3.Bwana wetu NI mkuu na mwingi was nguvu a kill zake hazina mpaka Bwana huwa tegemeza wenye upole huwa angusha chini wenye jeuri.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa