Ingia / Jisajili

Msifuni Bwana Anaye Kweza Masikini

Mtunzi: CarlesJr
> Mfahamu Zaidi CarlesJr
> Tazama Nyimbo nyingine za CarlesJr

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Carles Luoga

Umepakuliwa mara 22 | Umetazamwa mara 43

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 25 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Msifuni Bwana Anae kweza masikini ×2 Msifuni Bwana anae kweza masikini, Msifuni Bwana anae kweza masikini ×2 MASHAIRI 1. Enyi watumishi Wa Bwna Lisifuni Jina la Bwana jina la Bwana lihimidiwe sasa na hata milele. 2. Bwana ni mkuu kwa mataifa utukufu wake mbinguni nani alie kama Bwana Aketie juu mbinguni 3.Bwana humwinua mnyonge na kumpandisha masikini amketishe na wakuu wakuu wa watu.wake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa