Ingia / Jisajili

Msifuni Bwana Enyi Mataifa

Mtunzi: Melchior Basil Syote
> Tazama Nyimbo nyingine za Melchior Basil Syote

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 3,716 | Umetazamwa mara 10,112

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Msifuni Bwana enyi mataifa 
(Mpigieni kelele za shangwe Bwana ni mfalme wa mataifa) x 2
(Fadhili za Bwana Mungu wetu fadhili za Bwana ni za milele) x 2
Bwana ndiye muumba wetu ndiye Bwana Mungu wetu natumtukuze Bwana Mungu milele na milele.

  1. Mwimbieni Bwana wimbo mpya, mwimbieni Bwana kwa kinanda imbeni kwa sauti ya shangwe.
     
  2. Enyi mataifa mtukuzeni Bwana Mungu, itangazeni sauti ya sifa zake.
     
  3. Bwana ni mkuu juu ya mataifa, Bwana Mungu mkuu ni mkuu juu ya mataifa yote, na utukufu wake ni juu ya mbingu na nchi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa