Ingia / Jisajili

Msifuni Yesu Mwokozi

Mtunzi: George F. Handel
> Tazama Nyimbo nyingine za George F. Handel

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 11,050 | Umetazamwa mara 20,101

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

MSIFUNI YESU MWOKOZI

Msifuni Yesu Mwokozi, enyi malaika, enyi malaika mwekeni
Mfalme wa wote

Kamvike, kamvike, mvike, kamvike kilemba

2. Enyi Waisraeli mliokombolewa, mliokombolewa mwekeni Mfalme wa wote

3. Watu wa mataifa katika dunia, katika dunia mwekeni Mfalme wa wote


Maoni - Toa Maoni

Eusebius Dec 02, 2018
Wimbo huu sio wa G. F. Handel, wahusika katika sahihi katika utunzi wa wimbo huu ni James Ellor na Edward Perronet

Eusebius Dec 02, 2018
Wimbo huu sio wa G. F. Handel, wahusika katika sahihi katika utunzi wa wimbo huu ni James Ellor na Edward Perronet

Emmanuel Dec 20, 2017
Kila nikiisikiliza nyimbo huwa nauona ufalme wa Yesu kristo, mtunzi huyu hajawai kosea

Ambrosy kasuga Dec 20, 2017
Kwa hakika wimbo ni mzuri sana nami naupenda sana kuusikiliza kila wakati ,hongera sana mtunzi wa wimbo huu barikiwa kwa kazi ya mikono yako sababu nasi twabarikiwa kwa kusikiliza

Raymond Ndimbo Nov 26, 2017
Huwa nabarikiwa sana na huu wimbo hasa ifikapo siku ya Sherehe za Kristu mfalme kama leo.....Hama kwa hakika J.F.HANDEL amekuwa ni mtunzi wa nyakati zote toka miaka ya 1700's , changamoto kwenu watunzi wa sasa, tuleteeni nyimbo zenye Tafakuri kama hizi....( Masebene waachieni Ngwasuma n.k)

David Msike Nov 22, 2017
Wimbo Mzuri Unapendeza

XAVERIA STEVEN Apr 11, 2017
Naupenda sana wimbo huu ila kuupakua ndo shida

Abisina Ngalowoka Nov 29, 2016
Wimbo huu naupenda sana na hakika huwa hauchuji, hongera sana mtunzi

Mary Imaculata Aug 10, 2016
Naupenda sana wimbo huu. Unaonesha kuwa kuna maisha baadaye na tutakutana na na wapenzi wetu katika maisha yajayo tukiishi maisha yanayo mpendeza Kristu.

Steven Michael Jun 12, 2016
Kwakweli Nimeupenda Sana Huu Wimbo Wa 'Tumsifu Yesu Mwokozi' Uloimbwa Na George F Handel, Kwan Hauniishi Hamu Ya Kuusikilza Kila Wakat, Lakn Ningependa Kujua Namna Ya Kuupata Kwenye Simu Yaani Kuu'download' Maana Nimehangaika Kuutafuta Nimeukosa.

Toa Maoni yako hapa