Mtunzi: Dennis Munene
> Mfahamu Zaidi Dennis Munene
> Tazama Nyimbo nyingine za Dennis Munene
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 1,123 | Umetazamwa mara 4,370
Download Nota Download MidiMsiwe na wasiwasi mtakula nini kwani Bwana wa mbingu atawalisha na kinywaji pia atawapeni x2
1. Tazama nao ndege a mituni hawapandi ala kuvuna hawana hata gala Bwana Bwana wa mbingu anawalisha
2. Hata na mavazi yasiwasumbue Bwana Bwana atawapamba
3. Maana ndiye apambaye maua yale ya kondeni na hayasokoti
4. Zingatieni kwanza utawala wake Mungu naye atawapeni na ya ziada