Ingia / Jisajili

Mt. Francisco Wa Asiz

Mtunzi: Abado Samwel
> Mfahamu Zaidi Abado Samwel
> Tazama Nyimbo nyingine za Abado Samwel

Makundi Nyimbo: Watakatifu

Umepakiwa na: Samwel Abado

Umepakuliwa mara 1,490 | Umetazamwa mara 5,925

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ewe Mtakatifu Fransisco wa Asizi, ndiwe msimamizi na somo wa Kwaya yetu.
(Kwa Mungu wetu ah! utuombee wanao ili na sisi tuweze kufika uliko wewe.) x 2

  1. Ulimpenda Mungu katika maisha yako. Ulimuiga Kristu katika maisha yako utuombee na sisi tuige mfano wao.

  2. Huruma 'lionesha, kwao wagonjwa wa ukoma, ulifundisha kuwa ukoma wa roho watisha, kuliko ule wa ngozi, tutakase mioyo.

  3. Uliweka msingi katika imani yetu, ulianzisha jumuiya, jumuiya ya kitawa, tunayona matunda ya kazi uliyofanya

Maoni - Toa Maoni

LEONIDAS ANDREW Sep 25, 2024
Wimbo mzuri sana hongera sana na mungu azidi kubaliki kipaji chako Cha utuzi wa nyimbo

Toa Maoni yako hapa