Mtunzi: Tumaini Swai
> Tazama Nyimbo nyingine za Tumaini Swai
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Watakatifu
Umepakiwa na: Emil Mwemezi
Umepakuliwa mara 1,641 | Umetazamwa mara 3,627
Download Nota Download MidiM-takatifu (ewe) Karoli Lwanga somo wa kwaya yetu, utuombee kwa Mungu Baba X2
01. Tumekuchagu-a uwe mwombezi we-tu, na msimamizi, wa kwaya yetu hii, utuombee kwa Mungu Baba.
02. Utuombee kwenye masomo ye-tu, tunapofundishwa, na katika mitihani, tuweze kufa-ulu vizuri.
03. Kwa maombi ya-ko linda wazazi we-tu, wafadhili wote, wanaotusaidia, Mungu awaba-riki daima.
04. Kwa mateso yo-te uliyoyapiti-a, tuombee Baba, katika Tanzania, upendo na ama-ni vitawa-le.