Mtunzi: Emmanuel N. Stephano
> Mfahamu Zaidi Emmanuel N. Stephano
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel N. Stephano
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Donald Jilala
Umepakuliwa mara 208 | Umetazamwa mara 1,285
Download Nota Download MidiMtakatifu Lusia shahidi, somo na mwombezi wetu, twakuomba mama mwombezi wetu simamia kwaya yetu Lusia Shahidi wewe ni somo pia ni mwombezi wetu x2, Lusia Mama tufanye jiko Tupike tupike sakramenti palipo michubuko pawe laini upya x 2
Shairi.
1. kutokata tamaa tunapotaabika, Lusia somo wetu utuombee,
2. umoja na upendo liwe ni vazi letu, Lusia somo we utuombee
3. Lakini hasa hasa kwa matendo sahihi, Lusia somo wetu utuombee