Ingia / Jisajili

Mt Yohane Paulo Ii

Mtunzi: F. E. Nyanza
> Tazama Nyimbo nyingine za F. E. Nyanza

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Watakatifu

Umepakiwa na: Lawrence Nyansago

Umepakuliwa mara 2,437 | Umetazamwa mara 7,309

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  1. Mtakatifu Yohane Paulo wa Pili, uliyempenda Maria (ni) mpole (kwa) wote (wenye) shida (naye) Mwenyezi kampa tuzo.
  2. Huko juu twakuona hapa chini, wanao twakusihi (u)tupe (ma)pendo (ya) moyo (wa) ukarimu wako Baba.
  3. Mwaka tisini ulifika Tanzania, uliacha madhabahu (ya) mama (Ma)ria (pale) mlimani Kawekamo.
  4. Tunasali tukimwomba mama Maria, atuombee kwa Yesu (du)nia (i)pate (a)mani (ili) tuishi kwa usalama.
  5. Tunaomba utuombee kwake Mungu, tuige mfano wako (tu)pate (ku)fika (u)liko (tufu)rahi na watakatifu.

Maoni - Toa Maoni

Frank john Jan 08, 2017
Natoa pongezi nyingi kwako kwa kuendelea kututungia nyimbo nzuri zenye tafakari na mafundisho mwenyezi mungu akujaze wepes wa kukufikirisha ili uzidi kuinjilisha neno lake KARIBU MUSOMA ST AUGUSTINO CHOIR MWISENGE PARISH

Toa Maoni yako hapa