Ingia / Jisajili

Mtakatifu Karoli Lwanga.

Mtunzi: Julius Gotta
> Tazama Nyimbo nyingine za Julius Gotta

Makundi Nyimbo: Watakatifu

Umepakiwa na: Julius Marco Gotta

Umepakuliwa mara 4 | Umetazamwa mara 6

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio.

Mtakatifu Karoli Lwanga msimamizi wa kwaya yetu, utuombee kwa Mungu wetux2,,, Kitabu cha maisha yako, kimepambwa uzuri wa Utakatifu, utuombee kwa Mungu wetux2.

Beti.

1. Duniani tunapita safari yetu bado ni ndefu magumu bado ni mengi, utuombee kwa Mungu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa