Mtunzi: Kibela Mseja
                     
 > Mfahamu Zaidi Kibela Mseja                                     
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: ERNEST MAGUNUS
Umepakuliwa mara 1,769 | Umetazamwa mara 3,632
Download Nota Download MidiKIITIKIO:
Mtoto Yesu amezaliwa Leo, Mtoto Yesu amezaliwa ×2 Tufurahi Sote Mwokozi wetu Amezaliwa ×2
MASHIRI:
1.Malaika Kawa mbia wachungaji amezaliwa Mwokozi wa ulimwengu wote.
2.Huyu Yesu niyule Mwana waamaria amezaliwa Mwokozi wa ulimwengu wote.