Ingia / Jisajili

Mungu Aliupenda Ulimwengu

Mtunzi: Kayombo CW
> Mfahamu Zaidi Kayombo CW
> Tazama Nyimbo nyingine za Kayombo CW

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: cosmas kayombo

Umepakuliwa mara 238 | Umetazamwa mara 378

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Shangilio Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa mwanaye wa pekee ili kila mtu amwaminiye asipoteex2 Shairi 1. Maana Mungu hakumtuma mwanawe ahukumu ulimwengu bali aukomboe 2. Amwaminiye yeye hahukumiwi asiye amini amekwisha hukumiwa.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa