Ingia / Jisajili

Mungu Amepaa

Mtunzi: Sylvester Ernest
> Mfahamu Zaidi Sylvester Ernest
> Tazama Nyimbo nyingine za Sylvester Ernest

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana | Pasaka

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 1,287 | Umetazamwa mara 4,732

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mungu amepaa kwa sauti ya shangwe, Bwana kwa sauti ya baragumu. x 2

  1. Enyi watu wote pigeni makofi, mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe.
     
  2. Kwa kuwa Bwana aliye juu, ana ogofya ndiye mfalme mkuu juu ya nchi.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa