Ingia / Jisajili

Mungu Amepaa

Mtunzi: Filbert Thoy
> Mfahamu Zaidi Filbert Thoy
> Tazama Nyimbo nyingine za Filbert Thoy

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: Filbert Thoy

Umepakuliwa mara 585 | Umetazamwa mara 1,901

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Kupaa kwa Bwana

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti Bwana kwa sauti kwa sauti ya baragumu. x 2

  1. Enyi watu wote pigeni makofi pigeni pigeni makofi, mpigieni Mungu kelele za shangwe.
     
  2. Kwa kuwa yeye Bwana aliye juu ni mwenye ni mwenye kuogofya, yeye ndiye mfalme mfalme wa dunia.
     
  3. Mwimbieni Mungu naam imbeni imbeni mwimbieni mfalme, mwimbieni mfalme naam imbeni.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa