Ingia / Jisajili

Mungu Amepaa

Mtunzi: Tony Kirika
> Mfahamu Zaidi Tony Kirika

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: Tony Kirika

Umepakuliwa mara 184 | Umetazamwa mara 313

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Kupaa kwa Bwana
- Antifona / Komunio Kupaa kwa Bwana

Download Nota
Maneno ya wimbo
CHORUS:Mungu amepaa kwa kelele za shangwe Bwana kwa sauti ya baragumu. 1. Enyi watu wote makofi pigeni kwake Bwana Mungu aliye ju' sana mwimbieni Mungu imbeni kwa furaha. 2. Amepewa kiti Cha enzi mbinguni anatuombea kwa Mungu babaye mwimbieni Mungu imbeni kwa furaha. 3. Ndiye mtawala duniani humu sifa na heshima tumpe milele mwimbieni Mungu imbeni kwa furaha.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa