Ingia / Jisajili

Mungu Amepaa

Mtunzi: Aristides A. Kahamba
> Mfahamu Zaidi Aristides A. Kahamba
> Tazama Nyimbo nyingine za Aristides A. Kahamba

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: Aristides Audax

Umepakuliwa mara 903 | Umetazamwa mara 3,347

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mungu amepaa kwa kelele za shangwe,

Bwana kwa sauti ya baragumu.(*2)

1. Enyi watu wote pigeni makofi, mpigieni Bwana Mungu kelele za shangwe.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa