Ingia / Jisajili

Mungu Amepaa

Mtunzi: Josephat Sarwatt
> Mfahamu Zaidi Josephat Sarwatt
> Tazama Nyimbo nyingine za Josephat Sarwatt

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: Shanel Komba

Umepakuliwa mara 1,338 | Umetazamwa mara 3,138

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Kupaa kwa Bwana

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mungu amepaa amepaa kwa kelele za shangwe kwa kelele za shangwe Bwana kwa sauti ya baragumu Aleluya x2

1.       Enyi watu wote pigeni makofi mpigieni Mungu kelele za shangwe kwa kuwa Bwana aliye juu mwenye kuogofya ndiye mfalme mkuu, juu ya dunia yote

2.       Mungu amepaa kwa kelele za shangwe Bwana kwa sauti ya baragumu Mwimbieni Mungu naam imbeni Mwimbieni mfalme wetu naam imbeni


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa