Mtunzi: S. Mkude
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 7,095 | Umetazamwa mara 13,336
Download Nota Download MidiMungu amepaa amepaa kwa kelele za shangwe Bwana amepaa kwa sauti ya baragumu
1. Enyi watu wote pigeni makofi mpigieni Mungu kelele za shangwe kwa kuwa Bwana aliya juu ni mwenye kuogofya ndiye Mfalme mkuu juu ya Dunia yote
2. Mungu amepaa kwa kelele za shangwe Bwana kwa sauti ya Baragumu, mwimbieni Mungu naam imbeni mwimbieni Mfalme wenu naam imbeni
3. Maana Mungu ndiye Mfalme wa dunia yote imbeni kwa akili Mungu wamiliki mataifa Mungu ameketi katika kiti chake kitakatifu