Mtunzi: Ndayavugwa Ndagiwe
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 1,094 | Umetazamwa mara 2,861
Download Nota Download MidiMungu amepaa kwa kelele kelele za shangwe Bwana kwa sauti sauti ya Baragumu x2
1. Enyi watu wote pigeni makofi mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe
2. Mwimbieni Mungu naam imbeni mwimbieni Mfalme naam imbeni
3. Maana Mungu ndiye Mfalme wa dunia yote imbeni kwa akili Mungu awamiiki mataifa Mungu ameketi katika kiti chake kitakatifu