Ingia / Jisajili

Mungu Baba Ipokee

Mtunzi: Patrick Ingati
> Mfahamu Zaidi Patrick Ingati
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Ingati

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: patrick ingati

Umepakuliwa mara 210 | Umetazamwa mara 605

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MUNGU BABA UITAKASE Mungu Baba uitakase hii sadaka yetu, Twakuomba Bwana, ikupendeze (sadaka) itakate istahili mbele zako x2. 1. Sadaka yetu Bwana, ifanye iwe safi, mbele zako. 2. Sadaka tutoayo, ikupendeze Bwana, ije kwako. 3. Ikuvutie Bwana, ifike juu Mbinguni, twakusihi. 4. Na udhaifu wetu, tunaileta kwako, itakaase.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa