Mtunzi: Robert G. O. M
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 334 | Umetazamwa mara 1,462
Download Nota Download MidiMwenyezi Mungu anatawala mataifa yanatetemeka
Ameketi juu ya viumbe wenye mabawa wenye mabawa
Nayo dunia inatikisika x2
1. Mwenyezi Mungu ni mkuu katika sioni, ametukuka juu ya mataifa mataifa yote
2. Wote na walisifu jina jina jina lake kuu la kutisha Mtakatifu ndiye yeye
3. Msifuni Mwenyezi Mungu Mungu Mungu wetu angukeni kifudi mbele yake Mtakatifu ndiye yeye