Ingia / Jisajili

Mungu na Bwana wangu ninakuabudu

Mtunzi: Kihwelo Dominic
> Mfahamu Zaidi Kihwelo Dominic
> Tazama Nyimbo nyingine za Kihwelo Dominic

Makundi Nyimbo: Anthem | Ekaristi / Komunio | Misa

Umepakiwa na: DOMINIC KIHWELO

Umepakuliwa mara 118 | Umetazamwa mara 609

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mungu na Bwana wangu ninakuabudu katika Altare. (ii)Ninakuabudu katika maumbo ya mkate, pia na divai (iii)Tunapoona na kugusa fahamu ziangaze, tuwe na imani (iv)Ninamsadiki Yesu Kristo alificha Umungu, we msalabani (v)Mwanafunzi alikugusa ndipo akaamini, naamini kweli (vi)Tunaomba baraka zako ili zikae nasi, daima milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa