Ingia / Jisajili

MUNGU NAKUSHUKURU

Mtunzi: Severine A. Fabiani
> Mfahamu Zaidi Severine A. Fabiani
> Tazama Nyimbo nyingine za Severine A. Fabiani

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Sevelian Fabian

Umepakuliwa mara 252 | Umetazamwa mara 869

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Mungu Mungu wangu nakushukurux2 Umewalinda wazazi wangu Umewalinda na ndugu zangu na hata Mimi umenilinda nakushukurux2 1. Baraka Mungu wangu nazo umenipatia, kila ninachotaka Bwana unanipatia, kaa pamoja nami Bwana milele yote. 2.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa