Ingia / Jisajili

Mungu Ni Mmoja Tu

Mtunzi: Gabriel C. Mkude Sekulu
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabriel C. Mkude Sekulu

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 4,981 | Umetazamwa mara 12,524

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

(Amka asubuhi tembeeni mchana pia usiku mpumzike fanyeni kazi zenu na pia mtambue yupo anayewezesha haya) x 2
(Kwa kweli ni mmoja tu ni mmoja tu ni mmoja yeye ni mmoja tu ni Mungu Baba anayewezesha yote) x 2

  1. Yeye anajua mapito yetu tulalapo hata tuamkapo sifa na heshima tumpeni Mungu aliyetuumba. 
     
  2. Yeye ndiye Mungu wa Baba zetu katuwezesha kuyapata yote sifa na heshima tumpeni Mungu aliyetuumba.
     
  3. Na tumtambue tumheshimu tupige magoti mbele za Bwana sifa na heshima tumpeni Mungu aliyetuumba.
     
  4. Atukuzwe Baba pia na mwana atukuzwe Roho Mtakatifu sifa na heshima tumpeni Mungu aliyetuumba.

Maoni - Toa Maoni

stephano mwissa Apr 19, 2018
nmfurahishwa na kupendezwa nyimbo ya mungu nimmoja

ayme Jul 28, 2016
nime furahishwa naii site

Toa Maoni yako hapa