Ingia / Jisajili

Mungu Ninakuita

Mtunzi: Silas makori
> Mfahamu Zaidi Silas makori
> Tazama Nyimbo nyingine za Silas makori

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Mazishi | Misa

Umepakiwa na: Silas Makori

Umepakuliwa mara 105 | Umetazamwa mara 253

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 5 ya Kwaresma Mwaka C
- Mwanzo Marehemu Wote

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Chorus Ee Mungu ninakuita katika mateso haya uwe nami ona Dunia Hii imezama Bwana niokoe na dhoruba hii x2 1.Nalia asubuhi nalia mchana nalia jioni na usiku nalia . 2.Mimi ni mwenye dhambi nimekosa sana Kwa maneno yangu pia Kwa vitendo. 3.Tumaini langu lipo ewe Bwana wangu naomba unipokee. 4.Mwisho unipokee Kwa ufalme wako nijiunge nao watakatifu wako.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa