Mtunzi: Paschal Kabonge
> Mfahamu Zaidi Paschal Kabonge
> Tazama Nyimbo nyingine za Paschal Kabonge
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Paschal Kabonge
Umepakuliwa mara 425 | Umetazamwa mara 1,660
Download Nota Download MidiMungu wangu samehe dhambi zangu, nimekukosea wewe, pia na jirani zangu X2
1. majivuno hasira vinanisonga mimi unisamehe Baba unihurumie
2. chuki wivu ee Baba vinanielemea unisamehe Baba unihurumie
3. uchoyo na ulevi vyanipoteza mimi unisamehe Baba unihurumie
4. uzinzi kwangu Baba si kitu cha ajabu unisamehe Baba unihurumie