Ingia / Jisajili

Mungu Unihifadhi Mimi

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 10,360 | Umetazamwa mara 19,640

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mungu unihifadhi mimi x 2
Kwa maana nimekukimbilia wewe x 2
Mungu unihifadhi mimi

  1. Bwana ndiye fungu la posho yangu, pia la kikombe kikombe changu.
     
  2. Nimemweka Bwana mbele yangu daima, kwa kuwa yuko nami sitaondoshwa. 

Maoni - Toa Maoni

Fidelis Oct 26, 2023
Kaka upo vizur Sana mm Huwa naimba nyimbo zako Sana

Japheti Nov 05, 2018
Hongereni kwa kuturushia kila tunachohitaji

Japheti Nov 05, 2018
Hongereni kwa kuturushia kila tunachohitaji

Japheti Nov 05, 2018
Hongereni kwa kuturushia kila tunachohitaji

George Jan 09, 2017
wimbo ni mzuri hila kuna vifungu havipatikani, ninaomba unitumie hapa

Toa Maoni yako hapa