Ingia / Jisajili

Mungu Wa Amani

Mtunzi: Albert Katurumula
> Mfahamu Zaidi Albert Katurumula
> Tazama Nyimbo nyingine za Albert Katurumula

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Albdrt Katurumula

Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 17

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Amani ni tunu tuliyo pewa na Mungu, tuitafute amani maishani mwetu. X2 Umche Bwana Mungu kwa moyo wako wote maana yeye ndiye Mungu wa Amani. 01.Kwa unyenyekevu na upole mvumiliane, mkichukuliana kwa upendo 02.Kila mmoja wetu alipewa naama, kadili ya kipimo chake Kristo

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa