Ingia / Jisajili

Mungu Wangu Mbona Umeniacha

Mtunzi: Elia Temihanga Makendi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elia Temihanga Makendi

Makundi Nyimbo: Juma Kuu

Umepakiwa na: elia makendi

Umepakuliwa mara 322 | Umetazamwa mara 1,662

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio:Mungu wangu (Mingu wangu) Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniachax2 Mashairi 1.Wote wanionao hunicheka sana hunifyonya wakitikisa vichwa vyao husema umtegemee bwana na amponye na kumwokoa sasa maana apendezwa naye.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa