Mtunzi: Frey Juma
> Mfahamu Zaidi Frey Juma
Makundi Nyimbo: Juma Kuu
Umepakiwa na: Alfonce Haule
Umepakuliwa mara 995 | Umetazamwa mara 3,697
Download Nota Download MidiKIITIKIO:
Mungu wangu Ee Mungu wangu, Ee Mungu wangu, mbona umeniacha X2.
1. Wote wanionao hunicheka sana, hunifyonya wakitikisa vichwa vyao (kwa nini),
2. Husema umtegemea Bwana na amponye, na amponye sasa maana apendezwa naye (naye),
3. Maana mbwa mwitu wamenizunguka, kusanyiko la waovu limenisonga (kwa nini).