Mtunzi: Kelvin Masoud
> Mfahamu Zaidi Kelvin Masoud
> Tazama Nyimbo nyingine za Kelvin Masoud
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: kelvin masoud
Umepakuliwa mara 328 | Umetazamwa mara 1,676
Download Nota Download MidiKiitikio...Ee Bwana Mungu wangu nalikulilia, nalikulilia ukaniponya x2.
1...Ee Bwana nitakutukuza kwa maana umeniinua wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu.
2...Umenihuwisha nafsi yangu Ee Bwana kutoka kuzimu umeniinua na kunitoa miongoni mwa washukao shimoni.