Ingia / Jisajili

Mungu Wetu Ni Mwema

Mtunzi: THOHOMA
> Tazama Nyimbo nyingine za THOHOMA

Makundi Nyimbo: Anthem | Ekaristi / Komunio | Epifania | Juma Kuu | Kristu Mfalme | Kupaa kwa Bwana | Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Majilio | Mama Maria | Matawi | Mazishi | Miito | Misa | Moyo Mtakatifu wa Yesu | Mwaka Mpya | Mwaka wa Familia (2014) | Mwaka wa Huruma ya Mungu | Mwanzo | Ndoa | Noeli | Pasaka | Pentekoste | Sadaka / Matoleo | Shukrani | Tenzi za Kiswahili | Ubatizo | Utatu Mtakatifu | Watakatifu | Zaburi

Umepakiwa na: THOHOMA THOHOMA

Umepakuliwa mara 91 | Umetazamwa mara 195

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mungu wetu ni mwema kila wakati Mungu wetu ni mwema anatupenda wakatiwa magonjwa ni yeye anatulinda wakati wa ajali i yeye anatulinda hatanavifo ni yeye katuepusha Mungu wetu ni mwema kila wakati Mungu ni mwema. 1.Na waona watu wengi wanahangaika na magonjwa mimi nipo na afya yangu i njema huyoni Mungu kaniepusha na magonjwa. 2. Na ajali zimekuwa ni nyingi kila upande mimi nipo sijapata wala ajali huyo ni Mungu kaniepusha ma ajali. 3. Watu wengi wanahangaika na vita na njaa mimi nipo na Amani ya kutosha huyo ni Mungu kanijalia Amani

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa