Mtunzi: Sylvester Mengele
> Tazama Nyimbo nyingine za Sylvester Mengele
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,995 | Umetazamwa mara 5,328
Download Nota Download MidiMungu yukatika kao lake takatifu, Mungu huwakalisha wapweke nyumbani (tena) yeye huwapa nguvu na uwezo x 2
Mashairi:
1. Enyi wafalme wa dunia mwimbieni Bwana nyimbo za sifa.
2. Apandaye mbingu za mbingu tangu milele na milele.
3. Tazama Mungu anatisha katika patakatifu pake.