Mtunzi: Julius Gotta
> Tazama Nyimbo nyingine za Julius Gotta
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Julius Marco Gotta
Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 6
Download NotaUTANGULIZI.
iii&iv Usiku Nina lala asubuhi naamka, ninakula nakushiba ni muujiza wa Bwana
i&ii nimepewa akili ya kujua jema na baya, bila wasiwasi huu ni muujiza wa Bwana
KIITIKIO.
Nimeiona muujiza wa Bwana, nimeuona muujiza muujiza wa Bwana x2
MABETI.
1. Ananikirimia Neema zake bila malipo, ninapumua bila kujua gharama yake
2. Nijapopita katika majaribu huonekana, huniongoza katika kweli bila kujua
3. Amenionesha mwenzangu wa ndoa kati ya wengi, haikuwa kazi rahisi kwangu kumfahamu
HITIMISHO.
Nimeuona muujiza wa Bwana, nimeuona muujiza wa Bwana x4