Mtunzi: Joseph Rimisho
> Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Modest Tindegizile
Umepakuliwa mara 23 | Umetazamwa mara 1,555
Download NotaMUWE WATU WA HEKIMA Na: Modest Tindegizile
Kiitikio:
Basiangalieni jinsi mnavyoenenda. Si kama watu wasio na hekima/mkiuombea wakati kwa maaana siku za mwisho ni za uovu.
Mashairi:
1.Kwasababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamuni yaliyo mapenzi ya Bwana.
2. Tena msilewe kwa mvinyo, ambao mnaufisadi bali mjazwe Roho.
3. Mkisemezana kwa zaburi na tenzi, mkishukuru Mungu Baba siku zenu zote.