Mtunzi: Raphael A. Nyundo
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Philemon Kajomola
Umepakuliwa mara 16,333 | Umetazamwa mara 24,003
Download Nota Download MidiKama vile mwenye kiu anavyo yatamani maji/ Roho yangu yatamani kuishi na Yesu milele x 2
Mashairi:
1. Mwili wake ni chakula ni chakula cha uzima.
2. Damu yake ni kinywaji ni kinywaji cha uzima.
3. Kaa mwangu Bwana Yesu unipatie uzima.
4. Japo kuwa ni mdhambi unionee huruma.