Ingia / Jisajili

Mwili Na Damu Ya Yesu

Mtunzi: Raphael Sweetbert Masokola
> Mfahamu Zaidi Raphael Sweetbert Masokola
> Tazama Nyimbo nyingine za Raphael Sweetbert Masokola

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Pentekoste

Umepakiwa na: RAPHAEL SWEETBERT

Umepakuliwa mara 19 | Umetazamwa mara 38

Download Nota
Maneno ya wimbo
Ekaristi takatifu ni fumbo takatifu la Imani. Ni ishara ya upendo wa Mungu alitupenda upeo .Mwili na damu mkate na divai ametuachia Bwana Yesu Kristo mkombozi wetu x2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa