Ingia / Jisajili

Mwimbieni Bwana

Mtunzi: Ernest Magunus
> Mfahamu Zaidi Ernest Magunus
> Tazama Nyimbo nyingine za Ernest Magunus

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: ERNEST MAGUNUS

Umepakuliwa mara 349 | Umetazamwa mara 1,872

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Mwimbieni Bwana wimbo mpya Mwimbieni Bwana nchi yote, Heshima na adhama ziko mbele zake :|| 

Mashairi:

  1. Nguvu na uzuri zimo katika patakatifu pake, Mpeni Bwana enyi jamaa za watu M-peni Bwana  Utukufu na-nguvu.
  2. Mwimbieni Bwana libarikini Ji---na lake, Tangazeni wokovu wake siku kwa siku, Wa-hubirini U-tu-kufu wake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa