Mtunzi: Felician Mabula
> Mfahamu Zaidi Felician Mabula
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Mabula
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Felician Mabula
Umepakuliwa mara 6 | Umetazamwa mara 20
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 3 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 3 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 3 Mwaka C
Mwimbieni bwana wimbo mpya, mwimbieni bwana nchi yote ,Hekima na adhama ziko mbele zake nguvu na uzuri zimo katika patakatifu pakex2
01:Mwimbieni bwana libarikini jina lake tangazeni wokovu wake siku kwa siku
02:Wahubirini Mataifa habari za utukufu wake nawatu wote habari za maajabu yake