Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa
Umepakuliwa mara 725 | Umetazamwa mara 3,222
Download NotaMwimbieni Bwana wimbo Mpya mwimbieni Bwana ×2Kwa maana ametenda mambo ya ajabu machoni pamataifa ameidhihirisha ameidhihirisha aleluya.