Ingia / Jisajili

Mwimbieni Bwana Wimbo Mpya

Mtunzi: Kapchok Raphael Poghisho
> Mfahamu Zaidi Kapchok Raphael Poghisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Kapchok Raphael Poghisho

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Raphael Poghisho

Umepakuliwa mara 247 | Umetazamwa mara 827

Download Nota
Maneno ya wimbo
Mwimbieni Bwana mwimbieni mwimbieni Bwana wimbo mpya Kwa maana ametenda mambo ametenda mambo yaajabu ×2 (Bwana) Bwana wetu yesu ameufunua wokovu wake machoni pa mataifa ameidhirisha haki yake haki yake Bwana ×2 1. Mkono wa kuume wake mwenyewe mtakatifu umetenda wokovu 2. Miisho ya dunia imeuona wokovu wa mungu wetu 3. Mshangilieni Bwana Kwa sauti nchi yote imbeni Kwa furaha

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa