Ingia / Jisajili

Mwimbieni Bwana Wimbo Mpya

Mtunzi: Marko C. Ngoti
> Mfahamu Zaidi Marko C. Ngoti
> Tazama Nyimbo nyingine za Marko C. Ngoti

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: JOEL MASHAURI

Umepakuliwa mara 52 | Umetazamwa mara 126

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Maneno ya wimbo Mwimbieni Bwana wimbo mpya,mwimbieni Bwana nchi yote. Hubirini mataifa yote habari zake na watu habari za maajabu yake. 1.Utangazeni wokovu wake Mungu, wahubirini mataifa habari za utukufu wa jina lake. 2.Mpeni Bwana enyi jamaa za watu, mpeni utukufu nguvu pia utukufu wa jina lake. Mwabuduni Bwana kwa uzuri wake, tetemekeni mbele zake nchi yote nchi yote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa