Ingia / Jisajili

Mwimbieni Bwana Wimbo Mpya

Mtunzi: Lucian Kelvin ndundu
> Mfahamu Zaidi Lucian Kelvin ndundu
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucian Kelvin ndundu

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo

Umepakiwa na: Lucian Kelvin

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 3

Download Nota
Maneno ya wimbo

Mwimbieni Bwana wimbo mpya mwimbieni Bwana nchi yote x 2 heshima na adhama zipo mbele zake nguvu na uzuri zimo katika patakatifu pake x 2


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa